Alikuwa anamaamisha kuberi.. wazaramo utawaweza kutwa kukaa kwenye ngoma..
sent using my nokia ya tochi
Usiwe kama wageni wanaotumia browser bhana...Ohooo watu mpo vizuri kumbee acha tule kwa macho
Nikimaliza kushangaa?Shangaa na ww
sent using my nokia ya tochi
Sawa nashkuru, mteja analetewa mpaka mahali alipo ama!?10k kwa 100g
Matumizi yake ni kuweka kwenye maji, juice au smoothie (vimiminika) sio lazima usage ukiweka tu kwenye maji baada ya dakika 5 zinachange na kuwa na weupe! Hapo sasa ndio unakunywa, unaweza kutafuna au kumeza tu bila kutafuna
Nisamehe bure bibie, wala sikuitizma ile pic, tangazo la chia seeds nilikuwa nimeliona siku za nyuma so najua faida.. kwahyo nilipoliona pale nikaulizia bila kufungua,Halafu akanizodoa huyo wakati nilijibu sahihi kabisa
Madame S
Kwa kweli hili swali nilikuwa natafuta pozi la kukuuliza shemej yangu.. maana ndugu yangu kitambo sijamuona..Hivi umenionea wapi briz
Acha woga wewe...Halaf mie sijakutongoza wee binti komaa..
sent using my nokia ya tochi
Ni poa huko ni ajee?Hahaha...
Shemeji ni ajee?
Ngoja nijitahidi nisiweUsiwe kama wageni wanaotumia browser bhana...
Manake nimegundua kuna watu zaidi milion 5 wanasoma kapuku kimya kimya...
Wengine ni guest na wengine ni members wa jf..
Shukuran bibieVITA YA MAREKANI NA VIETNAM:
Sehemu ya 05:
Tulipoishia ndipo tunapoanzia
Mambo yalipozidi unga ikabidi C.I.A kw kutumia za kijasusi waliandaa maandamano ya kuwafanya wananchi wa MAREKANI kupinga nchi yao kujiingiza ktk vita isiyowahusu.
Hatimae MAREKANI kw shingo upande wakiwa wanahemea puani wakaanzisha visingizio eti kw kuwa wanachi wanaandamana inabidi tuondoe vikosi vyetu vitani. Hiyo ikawa chupuchupu yao wakiwa hawaamini kabisaaa mziki wa wavyetinam.
Ilipofika mwaka 1973 waliondoa vikosi vyao na kuikabidhi vyetinam kusini jukumu la kuendelea na mapambano wao wakainua mikono na kuwaachia msala wenzao vyetinam kusini waeendelee kuzichapa na vyetinam kaskazini.
Vietnam kaskazini sasa wakapata mwanya wa kuichakaza vyetinam kusini kwa miaka 2 mfululizo na hatimae mwaka 1975 vyetinam kaskazini ikaukamata mji wa SAIGON uliokua unamilikiwa na vyetinam kusini.
Kipigo hakikuishia hapo kwn mwaka mmoja baadae kusini na kaskazini zikaungana na kutengeneza nchi moja ya jamuhuri ya watu wa vyetinam. Wamarekani na mikwara yao ya kuingia vitani na midege mikubwa ya B -52 na mizinga mikubwa ila wakaisoma namba.
Nguvu bila maarifa ni kupoteza Mali. Helkopta, chemical za kupukutisha majan kwenye miti maarufu km defoliants lkn wapi.
Yaani nikikurudisha nyuma kidogo nikwamba MAREKANI walitumia nguvu kubwa bila maarifa. maana mwaka 1966 ndipo iliposhtukia mchezo wa kubadilisha makamanda kw wavyetinam ila walikua wamechelewa.
Inakadiliwa kuwa vita hiyo iligharimu maisha ya wavyetinam kati ya 966-000-3,800,00. Wakambodia kati ya 240,000-300,000. Walaotia kati ya 20,000-62,000 na hali wa MAREKANI zaidi ya 58,220 na zaidi ya 1,626 wakipotea na hawakujulikana walipo mpaka leo. Walitimua mbio mpaka wakapotea yaani sijui walienda sayari gani. Waliobaki ndo waliorudi vikosi vyote.
MWISHO.......
Nimeandika kw kifupi kupunguza urefu wa story maana matukio mengi yanajirudia. Kifupi nimeangalia point point tuu. Ukitaka kupata utamu kamili ingia YouTube search VIETNAM WAR. Utaipata yote na kuiangalia vzr japo zipo muvi nyingi kuhusu vita hy.
Kila kikosi cha kimarekani kilichoponea chupuchupu kiliandaa muvi ya mapambano ya upande wao ilivyokua ndomana picha za kivita ya vyetinam ni nyingi.
Hujui kwamba hata mtaani kuna akina Babu hata la kwanza bado hawajaanza
Samtaimu Babu ni jina tu la mtu
.....
Wee nae kwa kuFILA FILA maneno, wenzako wanaFILA .......... we unaFILA FILA maongeHapo si mlikuwa kwenye siku zenu
Kila Agosti 8 nadikia ni siku yake Simba hivyo mashabiki wote mnakuwa kwenye siku yenu
....
Labda ww hujanielewa mkuu, anyway tuachane na hii mada cz haina mashiko sababu kila mtu na moyo wake na uwezo wa kupambana na maseke..Tatizo Hujanielewa.... Bado hujawa involved in 'love affair' umekuwa involved in 'sexual affairs' that is why.... I
100% nyie hamjanielewa.. nilikuwa mazungumzia mapenz hasa na si ngono......sure, hajakuelewa hata kidogo! Love affair ni kitu cha moyo na sexual affair ni hisia zaidi , ukikosa cha pili huumii maana unaweza kuipata popote ila ya kwanza ikichezewa basi si ajabu ukaona mtu anachukua maamuzi utakayoyaita ya kijinga
Kwenu huko uzaramuni..ndio wapi huko?!
Mie basi wala siko nawe bibie.. mie mbona nna yangu, kama waona nakunyangama roho yako niwie radhi bibie..Umeniandama sana jamanisince jana usiku had sasa
Madame S
/Punguza matusi kijana
Kuna watu na heshima zao humu
Tumia maneno ambayo hayawezi kukwaza watu au tafsida
......
Sasa hv ukipita maka mie napita madina, wee los angeles mie new york..Umeniandama sana jamanisince jana usiku had sasa
Madame S