Vema sana mkuuHapa kama mungu alivyo penda pawe
We wa msangangongele nin..
sent using my nokia ya tochi
Atongozwe halafu alie..Hiv mara yako ya mwisho kutongozwa afu ukalia ni lini...?
Pamoja mkuuVema sana mkuu
HayaaHahaa... we huamin??
Halafu kibomu ni kijiji kipo gambia huko.
sent using my nokia ya tochi
Nani bwana wako.. toka hapa
sent using my nokia ya tochi
Umeniandama sana jamaniNa hauwez kukipata..
sent using my nokia ya tochi
Manati ipi ya madenge au kiokote!!?ntakupiga manatiiii
Ngoojaaa
Ohooo watu mpo vizuri kumbee acha tule kwa machoHiv mara yako ya mwisho kutongozwa afu ukalia ni lini...?
Sasa we unataka nihangaike kidijitali kwa viuno vya usiku m1, siku hizi hatutak tabu sio mtoto umtoe auti, alee vyakoo wee, halaf uje kumtongoza akatae aisee inaumasawa banaa ila makaveli alijitahidi kuchana banaa na swaga zake za kianalogia
We tubanie pua tu eti simple..Mbona simple tu
Swagga za bailly ndio zilizoniingia kwa kweli naona anajisumbua tu
Madame S
Mzaramo bhana utamjua tuu..Umenikumbusha nyimbo hii tulikuw tukiimbaga kwenye mdundiko
chakubimbii ukimuona muogopeeee ana manne anauma kotekoteee
Halaf mie sijakutongoza wee binti komaa..Kumjua tena!??? Nani huyo unamsemea
Madame S
Mimi habithul amal eeehHuyo mke unamtaja taja tuu, ndoa ulinifungisha weye.. wacha unaa
Nangoja siku yangu itimu.. inaonekana utafurah kusikia makaveli nimevuta sio.. habithul amal wee
sent using my nokia ya tochi
Kisa cha kumpiga mtuu.. mie sio bondia bhana..Utapatakipigo kutoka kwa makaveli et!
Shangaa na wwNimemkosea nn had anipige??
Madame S
Hahaha...Ohooo watu mpo vizuri kumbee acha tule kwa macho