Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nyama wee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nyama wee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona umefurahi mjukuu wangu?
Babu huo ugonjwa wa mapenzi achana nao kila mtu anaugulia kivyake moyoni mtu atajifanya jasiri nini lakini moyo ni kichaka anajua anavyoumia kuhusu mapenzi acha tu niyaamkie shikamoo mapenzi [emoji114]Haswaaaa
Anakijua mpigwajiKipigo gani tena hiko jaman
Bibi pumu ee...akapumulie chooni na nzi amwingie mdomoni[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bibi tafaa eehh.. mimi nmekusingizia nin??
Mtapigana mjue[emoji23][emoji12][emoji12] nyama mwenyewe
Madame S
Wee mwanamke ukishupalia kitu, ndio maana bitoz akakishindwa kah.. mbish kama ngoz ya tako..[emoji23] [emoji23] [emoji23] Singekuwa mpendwa wangu obe kujipitisha pitjisha Jana ungegongwa wewe haki ya nani tena
Pia amewahi kucheza movie
Juice je..Nimeshapata shem asante mwaya
Duuuu
Bangi hazijawah kukuacha salama husna[emoji23] [emoji23] [emoji23] miandiko yao inafanana et!
Jamani jamani[emoji134]We jishaue tu, njia ya kwendea kwako si unapita kwangu, utakiona cha mtema kuni, nyama wee
Wewe mtotongwa wa Obe.... Una bahati fulani inakunyemelea.... Mume wa kwanza alikuwa Mchawi ukamwacha.. Huyu naye anapenda kwenda kwa waganga... Sijui itakuwaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio alikuwa akiitwa "yaishe"?!Yaishe, mwiz wa kwanza kuchomwa moto manzese huko..
Sio bure
Umri wangu mkubwa, ila katika vtu ambavyo nmewah kuapa havitakuja kuntingisha moyo ni mapenz.. nshakutana na vingi ila ukijua jinsi ya kuviface mambo madogo ukiweza kukuntroo mamlaka ya ubongo ndio kabsa..Ha ha ha ha ha ha ha ha ha.... Kama wewe bado utakuwa na umri mdogo sana.
Eewaaa ukiona hutongozwi we ni nungayembeSifa ya mwanamke ni kutongozwa..