Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
Soma nilipoquote utaelewa
Kibiti tena!!! Duuu
Hivi toka uanze kutumia Id hii umeshang'oa wangapi hadi sasa??

Matumizi si yapo kwenye picha jamaniSh ngap hii, n matumiz yake ni yapi.. nahisi itamfaa bimkubwa wangu
Rest in peace rubani
Tozi nae chawwiiiNjiwa bundi Wa kigangaa
Rudi nyuma kidogo hapo utaelewa Mfua Chupi nimelitumia kama mfano tuNani huyo?
Na kwako pia..Habari za asubuhi
Nafikiri mmeaka salama na mpo kwenye majukumu ya kumalizia wiki
Niwatakie Ijumaa Nema
.....
Pole odinga meza hedex itakusaidia

I guess alikuwa anakutamia tu mkuuHili swali nimelichoka Jimena ...na sijui kwa nini watu wanafikiria negative... Kuna watu wanajiita muosha rungu mwengine nanaanto........nashindwa Kumalizia. Hivi hawa wanaulizwa.... Nikiulizwa na mtu mwingine ntatoa sadaka likes zangu nafungua Id mpya.
.. Sijakasirika lakini Jimena kuwa na amani full.
NimekusomaRudi nyuma kidogo hapo utaelewa Mfua Chupi nimelitumia kama mfano tu
Ila hapa tulijiwekea misimamo ya kutomjadili mtu hivyo tuachane nayo tuendekee na stori Ingine
......
Huyo bundi ashindwe na anyong'onyee










♂*Shaur yako.. we jipendekeze uone balaa langu.. navua mpaka ngozi, bora ukutane na wajeda kuliko kuingia anga zangu.. kipigo cha mbwa mwiz afadhal..![]()
![]()
duuu urongooo
Hahaa.. hapa unachek movie, hapa una askirimu yako safi ya ubuyu..Mjuwe mnanikumbusha mbali enzi zileee za video show kiingilio 50 no staff
Uswazi raha sana
*Darasani*
*MWALIMU* Nakua mbona Leo unawaza sana darasani?
*NAKUA* kwasababu baba yupo polisi na mama yupo hospitali
*MWALIMU* ooh pole mwanangu, kwa hiyo unahitaji kwenda nyumbani?
*NAKUA* ndio MWALIMU
_NAKUA akaenda nyumbani, na MWALIMU akawauliza wanafunzi wenzie_
*MWALIMU* kwanini baba Yake NAKUA yupo polisi na mama yake yupo hospitali?
*wanafunzi* kwasababu baba yake ni polisi na mama yake ni nesi
*MWALIMU* pumbavu sana huyu mtoto! Mwiteni arudi
*♂*









