Makapuku Forum

Hivi toka uanze kutumia Id hii umeshang'oa wangapi hadi sasa??
Hili swali nimelichoka Jimena ...na sijui kwa nini watu wanafikiria negative... Kuna watu wanajiita muosha rungu mwengine nanaanto........nashindwa Kumalizia. Hivi hawa wanaulizwa.... Nikiulizwa na mtu mwingine ntatoa sadaka likes zangu nafungua Id mpya.
.. Sijakasirika lakini Jimena kuwa na amani full.
 
Wataka nifike hadi wapi sasa kusogea huku
ongea tu mbona nakusikia bila mikwaruzano

Madame S
Mtongozo unaanzaga HV HV
Siusogee hata hapa karibu, tunaongeaje sasa wewe uko makkah mie madina...

Ya nin kuongea mbali mbali tunatupiana maneno kama vibirit ngoma wanagombea bwana.. sogea hapa uketi tafadhali madame

Mazungumzo gani had tuwe so close hivo??

Madame S

 
Mtongozo Wa kianalogia huu
mie mke wa mtu jamani

Madame S

Kama una usingiz kalale ndugu yangu.. hapa natafuta wa kupoteza nae muda sina usingiz hat chembe, ndio kama kumekucha vile
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…