makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,866
- 104,056
Mayonize.. mie timamu nikapende mayonize sijui, harmonize naumwa.. msuli yatima tuuKwa maayonizee yenu
Mayonize.. mie timamu nikapende mayonize sijui, harmonize naumwa.. msuli yatima tuuKwa maayonizee yenu
Hakujui makaveliMkuluuu napiga mpaka najuta
Tulia wee muuza makande wa tandale kwa tumbo..
Kwani kuna tofauti gani kikiwa kitupu na kikiwa na hizo mambo ujue najifunza binamu
Lipi hilo.. hebu sema hapa shem nmemc kweli ile nyundo ya hakimSio demi kuna likaka huko
Sawa wasalimie hapo JM!Kesho usisahau kufuata mbegu zangu bure kabisa![]()
![]()
![]()
![]()
.
Tukutane kesho i adau
Usiku Mwema
........
Hahaa.. donnie yen au anod shoziniga..Mkuluuu napiga mpaka najuta
Hahahahah usinkumbushe basiAliwabeba saana.. ila aliwaponza siku wakala 4~1 kwa liverpool, waliongeza dakika nying utafkr kafa mtu uwanjan, matokeo yake ryan babel akaenda kupiga msumali wa mwisho
Kujiamin muhim.. kidume ni kidume hata awe wa miaka 10, kamuulizejomba fisi mwenyewe anajuanipo na mwanaume ujue najiamini popote nikitembea
Tofauti ipo sana tu, yaani ni kama padri au mtawa kuwa na kondom mfukoni




binamu tutukane
Lipo hukoLipi hilo.. hebu sema hapa shem nmemc kweli ile nyundo ya hakim
Amuulize mwenzie bitoz ananijua vizur, napiga naparua mpaka vinyweleo..Hakujui makaveli
Alafu navaa sura ya komando masokorindo ....Hahaa.. donnie yen au anod shoziniga..
Ni kweliKujiamin muhim.. kidume ni kidume hata awe wa miaka 10, kamuulizejomba fisi mwenyewe anajua
Ushaacha tabia yako ya ukijozi, kakojoe kabisa usijeaibika mornie mkuu..Kesho usisahau kufuata mbegu zangu bure kabisa![]()
![]()
![]()
![]()
.
Tukutane kesho i adau
Usiku Mwema
........
Kutubu bila kujutia ni makelele tu, labda tumuombe Magu awashianishe mikono

Akikujibu nishitueDemi ndo anakusumbua au