Baby tulale make D kashasinzia ...Acha niwaache niko nalala mbaki salama
Wee acha stareh ya mpira ni ya kipekeeHahahahah usinkumbushe basi
Mpira una raha sana
Aisee, ndio hivyo kila mtu na chakeNmemfungia.. napiga show za kibabe.
Likirudia tena niambieLipo huko
Tulia hivyo hivyoAnakutafuta na nini tena binamu
NP mkuuWakuu..
UM
Ulalee unooo bibieAcha niwaache niko nalala mbaki salama
Kama frank zagarino..Alafu navaa sura ya komando masokorindo ....
Wee madam unakwenda wapi.. hebu ukuje hapa mara 1.
Madame S
......naona unatembea mwendo wa fumanizi

fumanizi?? Hapana bwanaNawe pia mdauKesho usisahau kufuata mbegu zangu bure kabisa![]()
![]()
![]()
![]()
.
Tukutane kesho i adau
Usiku Mwema
........
AiseeTofauti ipo sana tu, yaani ni kama padri au mtawa kuwa na kondom mfukoni

Mlale au muanze ........Baby tulale make D kashasinzia ...
Hope usiku wetu utakuwa poa sana ...lets enjoy de cake of our love ...
Umenikumbusha mbaliKama frank zagarino..
Aahh.. mnanichoma roho.Aisee, ndio hivyo kila mtu na chake
Alichottumia binamu yako anajua mwenyewebinamu tutukane