Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna malaya ananizingua kanipigia simu nmemwambia nampenda nae kanijibu nakupenda pia.. mie nmemwambia wee muongo hunipend akauliza kwann nimemwambia km unanipenda kwanin hukuntongoza nmekutongoza mimi.. mimi ndio nakupenda, kakata simu, mie sipendagi mambo ya ajabu ajabu shabashi..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji134] [emoji134]
 
[emoji524] Na ya pili ndio hii Mpende jirani yako kama nafsi yako kama nafsi yako hakuna amri iliyo kuu kuliko hizi

Yule mwandishi akajibu hakika Mwalimu umesema vema ya kwamba Mungu ni mmoja wala hakuna mwingine ila yeye [emoji524]

MARKO 12:31-31

Mbarikiwe sana muwe na asubuhi njema [emoji120]
 
Back
Top Bottom