Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sijui nitumie lugha rahisi uelewe haraka, well, ngoja nitumie lugha ya picha. Ukijishika kiunoni na ukaoni ni peupe tu kama kiwanja cha shule yaani hakina nakshinakshi kama shanga na nyuzi basi ndo ujue kinu hakijanakishiwa. Yaani hata hina tu hakuna
Kwani kuna tofauti gani kikiwa kitupu na kikiwa na hizo mambo ujue najifunza binamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom