Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kheee kiuno cha kinu kisichonakishiwa kipoje binamu [emoji134]

Sijui nitumie lugha rahisi uelewe haraka, well, ngoja nitumie lugha ya picha. Ukijishika kiunoni na ukaoni ni peupe tu kama kiwanja cha shule yaani hakina nakshinakshi kama shanga na nyuzi basi ndo ujue kinu hakijanakishiwa. Yaani hata hina tu hakuna
 
f5be24a5f12c8566024ab6ff9c792d5c.jpg
 
Back
Top Bottom