Makapuku Forum

Makapuku Forum

Umefanya la maana
Siku nyingi nilishajiwekea nadhiri ya kutogombana na mtu Jf
Kama ananizingua namkwepa tu ila muda wa malumbano sina bora hata niutumie huo muda na bando kulisha bata
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
Me ndio nipo hivyo nikiona mtu anaanza kunitukana kiroho safi tu huwa natoka kwenye huo uzi sirudi tena
 
Back
Top Bottom