shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mapema hivi, nawe pia shemela wa mimi apa uwe na usiku mwemaMuwe na usiku mwema jaman
Mapema hivi, nawe pia shemela wa mimi apa uwe na usiku mwemaMuwe na usiku mwema jaman
Awe makini na kichwa chake...anko wangu kawekewa limbwata na aliyemteka juzi, sasa huyu mganga, ni mganga mdada mrembo cheupe kibonge so sana kweli ndo anafanya kulitegua limbwata. Nahisi anaendelea vizuri maana kutwa wako chumbani wanapeana daaawa
Duh.. mwanangu kumbe umekuwa mfugaj bata hongera..Umefanya la maana
Siku nyingi nilishajiwekea nadhiri ya kutogombana na mtu Jf
Kama ananizingua namkwepa tu ila muda wa malumbano sina bora hata niutumie huo muda na bando kulisha bata
![]()
![]()
![]()
........
Chenkyuu kipendhiiiAsante makaveli mich u tuu
Ewaaaa tukibebana tunadondoshanaMama chibonge na mama chibonge..
Ngoja nioneBaba D jaman kwahiyo tukae mpaka sa 5![]()
Nimeambiwa na Baba D nisubiri mpka sa 5 ndio tukalaleMapema hivi, nawe pia shemela wa mimi apa uwe na usiku mwema
Misumali nux bhanaHaaaaahaaaa jirani umetisha sana
Kichwa kipi hiko shemelaAwe makini na kichwa chake
AiseeUmesema queen jaman hiyo wangu nitakua nimeongezea labda
MhhhhhhmhhhhhWakikausha huyu ni biashara nzur kwa wadada wapenda D I L D O
Huyu kijana ni kibangi moto sijapata kuona mfano wakeAtaachaje sasa
Pole, mpotezee tuNilikuepo huko nimetoka kuna mtu alikua ananitafutia ban
Fresh, namshukuru muumba, unachokipata ndio ulichoruzukiwa..Mishe mishe iko poa kabisa jirani, vip upande wako
Ile mechi naikumbuka, baadaye akaja akamalize Ryan babel akapost kwenye mitandao picha ya Webb akiwa amevaa jezi ya UnitedAliwabeba saana.. ila aliwaponza siku wakala 4~1 kwa liverpool, waliongeza dakika nying utafkr kafa mtu uwanjan, matokeo yake ryan babel akaenda kupiga msumali wa mwisho
Acha tu shemela kumpotezea ndio mana nikaamua kutokaPole, mpotezee tu
Ahhaha una vituko sana![]()
![]()
![]()
Nin shunie?