Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
NdiooBaba D jaman kwahiyo tukae mpaka sa 5![]()
DuhNilikuepo huko nimetoka kuna mtu alikua ananitafutia ban
Nlitaka umuone PAbeeh
Ndio mana nimeamua kutoka kabisa kwenye ule uziDuh
Kuna watu wapo Jf kukwaza tu wenzao
Mimi pia mtu kama ananizingua mara kwa mara na uvumilivu kunishinda namweka ignore list ila inasaidia kidogo tu
Mara nyimgi napuuzia tu
.......
Hahaa... watoto bhana..Hii kitu kwa litoto langu mtapigana mpaka kuche anavaa mpindulee aka vice versa ila sasa mvue uone vita yake ...
Sawa hakuna shidaNdioo
Unaona sasaUmesema queen jaman hiyo wangu nitakua nimeongezea labda
...anko wangu kawekewa limbwata na aliyemteka juzi, sasa huyu mganga, ni mganga mdada mrembo cheupe kibonge so sana kweli ndo anafanya kulitegua limbwata. Nahisi anaendelea vizuri maana kutwa wako chumbani wanapeana daaawa

Ebu niwekee hapa picha yake nimuone mke mwee jamanNlitaka umuone P
Michi yuuuZa mimi poa sana makaveli
Jionee na wakat nshatubuuUsinile kisogo binamu safari hakuna unaongea hapa mara anko wako yupo ndani katekwa sijui mara watoto kama wanachama wa chadema nina moyonujue binamu
ShunieMama mchuchu
Shwari tuu shemeji yangu.. vip kiburudisho chako hakijambo!!?Sema shem
Wapii hukoooNilikuepo huko nimetoka kuna mtu alikua ananitafutia ban
Sisi vibonge hatufananii nao haoHahaa.. sio wewe na shunie
Me nliuzaNa wewe pia si unazo binamu alisema
WoyoyooooooooooooTulijubariana nini
Alafu binamu naona tangu uninyanganye queen unajiona mjanjaa
Kheee kiuno cha kinu kisichonakishiwa kipoje binamuHuzipendi hizo juice kwani? Ni nzuri sana, ziko natural kama kiuno cha kinu kisichonakishiwa

AbeeehShunie