makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,861
- 103,996
Hahaa.. sio wewe na shunieTe te te ni mkulu mwenyewe makaveli10
Hahaa.. sio wewe na shunieTe te te ni mkulu mwenyewe makaveli10
AbeehShunie
Me czijui jamaaniHuzipendi hizo juice kwani? Ni nzuri sana, ziko natural kama kiuno cha kinu kisichonakishiwa
Sipatiii emojiiiNimrshakuzoea binamu kwa mama safari hakuna pamoja na jana alikuulizia
Teh teh teh teh...hivi me na wewe na hivi tulivyo vibonge si tutaangushana Baba D ebu siku nibebe au nikubebe

Cjui binamu na mjomba wakeHivi zile sale bado mnazo au mlizitupa
Queen wangu ???Si hapo binamu yako unamlalamikia kwa kukunyanganya queen wako
Mganga wa anko anamroga nani tena binamu
Sema shemZa mimi ni poa, sijui za wewe miss shunie.
Wa nani sasaHapana
Tunalala saa 5Muwe na usiku mwema jaman
Shukran Mtumishi nawe pia ucku mwemaNawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote na kwa nguvu zako zote
![]()
MARKO 12:30
Muwe na usiku ulio mwema mlindwe na Damu ya Yesu kristo![]()
![]()

Wewe weweeeee ....obe ni binamu wangu mali yake ..zake nazichungaa
Obe ww una hatari kwa kweli.....usisingizie watoto bhana, kuwa mkweli kuwa wewe umefurahi zaidi maana leo mapemaaaaaaaaaaaaaaaaa, haina kuamshana usiku mnene kukojoa. Watoto wakilala mapema lazima uwe makini wakojoe kwanza ndipo walale

Nimelike...anko wangu kawekewa limbwata na aliyemteka juzi, sasa huyu mganga, ni mganga mdada mrembo cheupe kibonge so sana kweli ndo anafanya kulitegua limbwata. Nahisi anaendelea vizuri maana kutwa wako chumbani wanapeana daaawa