Makapuku Forum

Makapuku Forum

c3ff03068ef2502ad81aa5576d5dd86b.jpg
Mie nilikuwa nikiambiwa vaa viatu vizr siwaelew cz mie najiona nmevaa vzur, nikawa nmekremisha hata nikiwa nmevaa vizur mtu akiniambia vaa vizur nabadili kulia naweka kushoto.. ama kweli utoto maji ya barid
 
Hii kitu kwa litoto langu mtapigana mpaka kuche anavaa mpindulee aka vice versa ila sasa mvue uone vita yake ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom