Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Nilijuaaa utabishaaaHahaa.. hapana kwa kweli mie nikaoe mke john cena, akuuuu.. si mimi huyo
[emoji23] [emoji23]
Nilijuaaa utabishaaaHahaa.. hapana kwa kweli mie nikaoe mke john cena, akuuuu.. si mimi huyo
[emoji23] [emoji23]
Sawasawaaaa mkuluu wa darUrumba huu, kwetu kigambon ni wa kumwaga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona bitoz kanuna?
.
Sura halaf mbona kama yule wa futuhi..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]![]()
Kuku wa madenge [emoji3]
Kujamba raha sanaTOP TEN
Sifa kuu za viumbe hai ni kujongea/kutembea,kutoa taka(kunya,kukpjoa.jasho), kuhisi(kwa ngozipua ).kupumua(kwa mapafu,ngozi+ kujamba) na kufa(hapa mwanadamu hataki kupasikia)![]()
Hawa ni mademu wasiiona(hawataki kuitwa vipofu) ila ukweli hautobadilika hawaoni kitu!!(ipo siku nitaleta kumi kubwa ya vipofu mashuhuri)
Sasa leo tuangalie wanyama kumi wasioona yaani kwao ni mbwembwe wa giza tu
Achana na popo maana usiku kwake ndo mchana
Karibuni
.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Hahaa [emoji3][emoji3]
Cc ; all single ladies..(jokes)
Ktk ubora wao[emoji106] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Teh teh teh.. tozi nyangema na kiburudisho chake
Hiyo ni kweli![]()
Ndio maana women days zinatambulika sana..
Nipooo![]()
Wale waoga wa maji mpo?
Jifunze kutupia na wwT umenikosha aisee tupiaaa
[emoji1] [emoji1]Unaweza kufa kwa presha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]Trump himself
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyangema kwenye ubora wake, leo kavuta goma... anajipoza tu nait kali..
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Yooooo maweeeee....hii unaikumbuka mko sehemu
![]()
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]mmmh ovyoooSasa kama unanichukia mkulu sorry ...hii hapa![]()
Full kudekaa
Sawa mdauSorry mkuu ...hawa jamaa sio kwamba hawaoni kabisa ila wanasimple eyes at time ukisoma ancestors wao inaonekana kuna uwezekano walikuwa na compound eye ....japo kiujumla macho yao huwez kuyaona yamefunikwa na wanaona vizuri tu ...
Zipo experiments zilizofanywa na kubaini endapo macho yao yakiwa uncovered hawaoni kabisa ...
Sawa mzee wa KigamboniUrumba huu, kwetu kigambon ni wa kumwaga.
Jobu langu haswa lilikuwa SIJUISijasema kila buibui ana sumu nmekuuliza hawana sumu nikiwa namaana wapo wenye sumu na mapopoma pia... jamii hiz huwa na sumu kali..