Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Msalimie sana, mwambie nina mganga mpya sasa safari zangu zote hadi aangalie nisijenikarogwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Msalimie sana, mwambie nina mganga mpya sasa safari zangu zote hadi aangalie nisijenikarogwa
Ucnambie amebadili nafasi yko ya kuwa wa mwisho kuelewa[emoji87] [emoji87]
Aisee duhMmmmmh, huyu kuelewa hadi alewe kwanza halafu wizara nzima ya elimu iungane na ile ya Znz ndo waje wamueleweshe. Mgumu sana kuelewa huyu, niulize mimi.
Hebu fikiria, mumewe ambaye ni anko wangu ana watoto kama alama za chadema lakini hataki kuamini
List yetu ipoBinamu obe halaf nilisahau jana niliongea na Mama alikuulizia anakusalimia sana akaniambia obe haulizi safari ha kuja
Amen[emoji524] Nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote na kwa nguvu zako zote [emoji524]
MARKO 12:30
Muwe na usiku ulio mwema mlindwe na Damu ya Yesu kristo [emoji120] [emoji7]
Kwa shabiki yoyote ambae si wa Man u hawezi msahau Web[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna mwingine kumbe ni yupi huyo tenaSio p
[emoji23][emoji23][emoji23]Leo unamkana mwanao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huzipendi hizo juice kwani? Ni nzuri sana, ziko natural kama kiuno cha kinu kisichonakishiwa
Binamu yako anafunguka tuKama nakuona shemela wangu mie
Mganga tena na mama mchuchu wapi na wapi binamuMsalimie sana, mwambie nina mganga mpya sasa safari zangu zote hadi aangalie nisijenikarogwa
Binamu kaua kabisa [emoji3] [emoji3] [emoji3]Binamu umeanza ujue nakuona tuu endelea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu ujue nakuwazia tu unavyofananiaHeh, umesahau siku hizi mimi naelewa faster sana kama kuchechemea unapokanyaga mavi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmmmh, huyu kuelewa hadi alewe kwanza halafu wizara nzima ya elimu iungane na ile ya Znz ndo waje wamueleweshe. Mgumu sana kuelewa huyu, niulize mimi.
Hebu fikiria, mumewe ambaye ni anko wangu ana watoto kama alama za chadema lakini hataki kuamini
NitagLeo mapema aliyofurahia ni nini hiyo binamu
List ipi tena Baba DList yetu ipo
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji134] [emoji134] [emoji134] cc huchna
KicheicheiKuna mwingine kumbe ni yupi huyo tena
Itakua ni mwendo wa balimi na jani pembeni shemela hii sio akili ya kawaidaBinamu yako anafunguka tu
Me namwangalia tuBinamu kaua kabisa [emoji3] [emoji3] [emoji3]