Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Tumeumbwa kusamehe shemela ujueVizuri sana
Tumeumbwa kusamehe shemela ujueVizuri sana
Aisee, kuna viumbe wa ajabu sana Dunia hii
# 1 mtavunjika mbavu zaidi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
Shemela kwani uongo, mshukuru sana mtekaji [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] amekurudishia hadhi ya familia yakoShemela hivi lini utaacha uchochezi lakini
Mzee wa kukurupuka yaan futuhi napendaga kwake tu huyu mtu
Ngoja nisubiri# 1 mtavunjika mbavu zaidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
......
Huyo mtoto wa nani Baba D
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo binamu obe
Na kweli ukifika si la kuuliza shemelaNikifika tu nitalijjua
Angalia na aliyembeba [emoji134] [emoji134] [emoji134]Huyo mtoto wa nani Baba D
Boha babu analijuaBoha
Asantee shemelaNimefikisha ujumbe ulionituma leo asubuhi
Shemela jamaan [emoji134] ila kweli acha tu nimshuru mtekaji popote alipoShemela kwani uongo, mshukuru sana mtekaji [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] amekurudishia hadhi ya familia yako
Shemela kabebwa au yupo kwenye kochiAngalia na aliyembeba [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Umeona eheeShemela jamaan [emoji134] ila kweli acha tu nimshuru mtekaji popote alipo
Utatupeleka opistali[emoji23] [emoji23]# 1 mtavunjika mbavu zaidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
......
Wa binamuHuyo mtoto wa nani Baba D
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo binamu obe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]1/Penis Snake![]()
![]()
![]()
Siongelei penis inayowapa jeuri akina Side Mnyamwezi wala penis inayowafanya mijimama ipapatikie vijana wadogo na kuhonga
Naiongelea penis nyingine kabisa yenye uwezo wa kusimama na kuuma tofauti na ile inayosimama na kumwaga vitu
Uume huu unaojongea unapatikana Brazil kwenye Mto Amazon yaani ni kama ana undugu na Anaconda ila watafiti wamegundua hyuyu kiuhalisia sio nyoka bali anakaribiana kibaiolojia na Salamander
Kitu kingine cha ajabu ni kwamba hawana mapafu pia
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesho
Mwisho
..............
Asantee mkuu1/Penis Snake![]()