1/
Penis Snake
Siongelei penis inayowapa jeuri akina Side Mnyamwezi wala penis inayowafanya mijimama ipapatikie vijana wadogo na kuhonga
Naiongelea penis nyingine kabisa yenye uwezo wa kusimama na kuuma tofauti na ile inayosimama na kumwaga vitu
Uume huu unaojongea unapatikana Brazil kwenye
Mto Amazon yaani ni kama ana undugu na Anaconda ila watafiti wamegundua hyuyu kiuhalisia sio nyoka bali anakaribiana kibaiolojia na
Salamander
Kitu kingine cha ajabu ni kwamba
hawana mapafu pia
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesho
Mwisho
..............