Kwemaa sanaKumekucha salama kabisa, vip pande hizo
MorningMorning all kapuku
Sasa sizonje atapata ushirikiano kweli ??
Ngoja tuoneSasa sizonje atapata ushirikiano kweli ??
Morning too, hivi D yupo hajamboMorning
Mzima kabisaMorning too, hivi D yupo hajambo
Ahsante mdauKatika dondoo za bbc. ..
......Wakenya waendelea kusubiri kutangazwa matokeo ya uchaguzi mkuu.
.....Nao Muungano wa wafanyabiashara watoa wito kwa wakenya warejee kazini wakati wanasubiri matokeo
.....Na Polisi Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yawashikilia wanaharakati waliojaribu kuipindua serikali ya nchi hiyo.
Bill Gates locha ya kuwa tajiri # 1 duniani hana minyama uzembe(kitambi) pata picha !!
Morning Baba D nimeingia tu kumsoma mr x na kujua tu unavyoendeleaBandugu kumekucha.....
Pamoja sana mdauBill Gates locha ya kuwa tajiri # 1 duniani hana minyama uzembe(kitambi) pata picha !!
Kwa waafrika matumbo makubwa level ya tembo ndio ufahari
.
.
.
.
Ahsante mdau
......
Shemela za weweMorning Baba D nimeingia tu kumsoma mr x na kujua tu unavyoendelea
Baba jj hizo mambo baba d kashaachana nazo jaman msimuite tena hayo majina shemela wanguTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa mzee wa peremende aka mzee wa totoz
Haya shemela wangu shunie nimekuelewaBaba jj hizo mambo baba d kashaachana nazo jaman msimuite tena hayo majina shemela wangu