Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji120] [emoji120] [emoji120] shukrani mke mweee hbr ya uzima[emoji524] Ee Bwana kutukuza usitutukuze sisi, Bali ulitukuze jina lako, Kwa ajili ya fadhiri zako, kwa ajili ya uaminifu wako [emoji524]
ZABURI 115:1
Muwe na mchana mwema mbarikiwe [emoji120]