Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Usinitafutie kesi bwana taratibu mwenzako ugomvi siweziNini sasa .......
Unamuona clkey wangu ??
Usinitafutie kesi bwana taratibu mwenzako ugomvi siweziNini sasa .......
Unamuona clkey wangu ??
Ugomvi na nanii ??Usinitafutie kesi bwana taratibu mwenzako ugomvi siwezi
Kwema mkuu
Mie niko good kabsa.Sijambo kabisaaaa sijui ww
Wangu ndio imenisambaratisha!!Kwani umeelewajeee ...
Nimekuuliza umemuona clkey au wangu ndo limekuvuruga??
Ugomvi wa nin tena bibie.. kwan si ruksa wa4 we ndio kwanza utakuwa wa pili.Usinitafutie kesi bwana taratibu mwenzako ugomvi siwezi
Sikuwaaa na maana hiyooo..
Poa kabisa jirani
Wa 3 mkulu nikusahihisheeUgomvi wa nin tena bibie.. kwan si ruksa wa4 we ndio kwanza utakuwa wa pili.
Sio mgomvi bhanaaaaah
Kwahyo clkey ni mke mdogo?Sikuwaaa na maana hiyooo..
Mmi ni wa shunie mke mkubwa
Una kibiriti hapo jirani!?Poa kabisa jirani
Duh.. we jamaa unafanya matumiz mabaya wakat wenzio tuko 0 we una wa3Hiiiii clkey tenaaa...
Mdogo demi

Kwani mkulu wanaposema mwenye nacho ataongezewa wanamanisha nini kwa mfanoDuh.. we jamaa unafanya matumiz mabaya wakat wenzio tuko 0 we una wa3![]()
![]()
Nakubaliana naoKwani mkulu wanaposema mwenye nacho ataongezewa wanamanisha nini kwa mfano