Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
AaahSupu ya kichwa cha mbuzi ..
Kama kawiada
Asante mwaya
AaahSupu ya kichwa cha mbuzi ..
Kama kawiada
HahahaHahahaaa!
Supu ya kichwa cha mbuzi..
Nimemuona jamanii... Hayo meno yake MmmmhUmemuona shemeji mollelii lakini hapo?![]()
HahahaaaaaaNimemuona jamanii... Hayo meno yake Mmmmh




Ulikuwa sahihi johYawezekana nilichokiona kabla na baada ya mpira nilikuwa sahihi japo wewe kukiona kulitegemea ushuudie kwanza ndo uamini ....anyway ndo mpira na wenye mpira wao...shunie angelinitambia kinomaa kama angelichukua hii kitu ile dhana ya kumwombea jirani yako njaa nilikuwa naiomba kimoyomoyo japo epl inakosa vitu adimu ...anyway niweke kitu baada hope cha mwanzoni ulikisoma.... Baada ya goli la kwanza Madrid walionekana kunogewa katika eneo la Manchester united..... Na baada ya Manchester united kufungwa goli la kwanza kwa mtego, Bado goli la pili pia lilitokana na miguu ya Isco kuwa bora kabisa na akili ya Karimu Benzema. Lindelof na Smaling walionekana kutokuelewana na mara nyingi walishindwa kufanya making kwa wakati.... Nadhani Mourinho atakuwa amewamisi sana Marcos Rojo na Erick Bailly katika eneo lile.
Yule lucar Mondric na Yule Nemanja Matic. Nilikuwa natamani wabadilishe kwanza jezi zao wenyewe..... Mondric na Matic walikuwa wanafanya kila kitu uwanjani, walikaba, walipokonya mipira, walipiga pasi, wakiamua kukimbia na pia walipiga mipira mirefu kuelekea golini. Mchezo ulikuwa kwenye miguu ya hawa watu kwanza kabla haujachukuliwa na Isco mazima.
Miguu na ubora wa Isco, ulifanikiwa kuuficha ubovu wa Gareth Bale na mapungufu ya Karimu Benzema katika mchezo huu.... Mchezo wote ulikuwa miguuni mwa isco, aliamua kucheza kulia, aliamua kucheza kusho na kuna wakati aliamua kuendesha timu akiwa anatokea kati.... Aina ya uchezaji wake ulikuwa sumu kwa viungo na walinzi wa Manchester united.... Fransisco Allacon huyu ndiye aliyekuwa anaamua Madrid sasa ikimbie sana katika kushambulia.
Fellain ni mchezaji mwenye impact sana katika mbinu za Mourinho..... Anakupa vitu vyote kama mchezaji wa plan B ya Kocha kiufundi zaidi... Kutokuwa makini kwa Marcus Rashford, Romero Lukaku, Karimu Benzema na Gareth Bale ndiko kulikofanya matokeo kusomeka 2-1 hadi kipenga cha mwisho.....
![]()
Hii imejipost...![]()
Bwanaaabwanaaaah hawa watu wamenishindaaa
Ntakutafuta shemela hasa hapo kwenye Antioxidants..Karibuni kwenye historia asubuhi ya leo ikiwa ni tarehe 9/8/2017
Ambayo italetwa kwenu nami Jimena Jimenes kwa udhamini wa Chia seeds
![]()
Jipatie Chia seeds zako sasa kwa bei ya 10k
Fundi a.k.a mjuviLeo katika Historia
1931 - Mario Zagallo anazaliwa.
Ni kocha wa zamani wa Brazil aliyeipa ubingwa wa Dunia wa 1970.
Hbd whitney houstonLeo katika Historia
1962 - Whitney Houston anazaliwa.
Mwimbaji mashuhuri wa muziki nchini Marekani.
Bitoz naomba uweke ile ngoma yake inayokwenda kwa jina la "Try it on my own" ili asubuhi iwe njema kabisa
Alifariki mwaka 2012.
Mviziaji mmoja hatari..Leo katika Hostoria
1963 - Filipo Inzaghi anazaliwa.
Ni straika wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Italy.
Hurreeeyyy....Leo katika Historia:
Ni mwaka mmoja na miezi Minne ya Makapuku Forum.
Ilianzishwa tarehe 9/4/2016
Leo ni siku yetu hivyo hatuna budi kutamba kwa mbwembwe zote.
Asanteni wote kwa kuijenga familia hii bora kabisa hapa JF
Cc @bailey
Morning mkuluu
Habithul' amal hawa.. nyama ya kopo hawa, shenzi taip, tandarubete na omary..Bwanaaabwanaaaah hawa watu wamenishindaaa
Shubaaaaamiiiitiiiii. ..
Wasamehe mkuluHabithul' amal hawa.. nyama ya kopo hawa, shenzi taip, tandarubete na omary..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema uko poa ??