Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nashangazwa na vingi asee
1qjdF4EQ.png
Hahaha
 
Kabla sijaja kapuku kumbuka nilikuwa siasani, mmu na kwingineko kote huko niko na friends, brothers and sisters... So Kuja kapuku hakunifanyi niwakwepe au niwachukie watu for nothing... Siweziiii acha taniana na watu eti kisa nina mume humu..

T atabaki kuwa mume wangu tu... Hayo unayotaka kuchunguza ni yako it's none of my business...
 
Niko hapa T, nilidhani unaniamini but I was wrong!!!

Kila mtu ako na past, same as you!!!! Babu atabaki kuwa rafiki hilo halikwepeki, siweziiii mchukia sababu tu umekuwa mume wangu..

Wewe ni mume na yeye ni rafiki tena babu kama ulivyo na marafiki na dada zako na majirani!!!

I know how to let someone go, but I don't know how to hate.... Ukiona huniamini let me know, and I will let you go but I will never hate you...


Sakayo
Cc Transcend


Touching words
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom