Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Na pesa zenye anazoHuyo ndiye baba
Unaweza kuwa baba lakini ni hohe hahe tu
Na pesa zenye anazoHuyo ndiye baba
Hongera kwa 258k
Lord have mercy!!!Niko hapa T, nilidhani unaniamini but I was wrong!!!
Kila mtu ako na past, same as you!!!! Babu atabaki kuwa rafiki hilo halikwepeki, siweziiii mchukia sababu tu umekuwa mume wangu..
Wewe ni mume na yeye ni rafiki tena babu kama ulivyo na marafiki na dada zako na majirani!!!
I know how to let someone go, but I don't know how to hate.... Ukiona huniamini let me know, and I will let you go but I will never hate you...
Sakayo
Cc Transcend
LabdaIna maana makundi mengine Mbu hawayapendi
Power of love

Waliishia kuongea tu au?
labdaBaadaeShukrani,
Mlete Sahi
HahahaLord have mercy!!!
Kumbe nshaleta kizaazaa kwenye nyumba za watu??
Hivi inakuwaje mtu anakuwa na hofu na mimi babu kikongwe jamani??
Mimi huyuhuyu???
Sijasikitika bali nimeshangaa sana LOOOO
Safi sana
Vipi leo ataangalia mpira nyumbani au nimpitie tukaangalie mahali?

mpitie tu kwa kweli mkaangalie mnakotaka ila muwe makini eehJogoo hawikiTatizo la niniliii
Noted![]()
Technology is the worst thing that dumb people will never understand its impact..
And If you are involved in any of today's telecom devices, play safe with strangers..
A day can turn dark .
I onced promised this..
I will keep it forever..
And forever you will my wife..!
Nothing will tear apart this bond.
![]()

Ingo udye ubugali ni nzembagizaNipe zawadii
Samahani kama nimewakwaza...Hahaha
Babu bhanaa, Usijali mwaya babu wangu.... Hamna kizazaa hapooo
Hapana chezea love za watu babuuuuLord have mercy!!!
Kumbe nshaleta kizaazaa kwenye nyumba za watu??
Hivi inakuwaje mtu anakuwa na hofu na mimi babu kikongwe jamani??
Mimi huyuhuyu???
Sijasikitika bali nimeshangaa sana LOOOO

Wala hukamkwaza mtu, kuwa na amani babu akeeSamahani kama nimewakwaza...
Kiherehere changu samtaimz kinaletaga vizaazaa...
Kwakweli....Hapana chezea love za watu babuuuu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Haya haya....Wala hukamkwaza mtu, kuwa na amani babu akee
UmeonaeeKwakweli....
Sikujua na uzee huu kumbe bado mi ni tishio Hahahahaa...