Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
TehBado tupotupo sana...
![]()
TehBado tupotupo sana...
![]()
Mwite sasa aje kujibu...!![]()
usitufanyie hivyo T tabu utanipa mimi ujue
HahahaMahabaaa... usijali niko napiga tizi kama ulivyonishauri...
![]()
Kuna ka uchunguzi nakafanya mkuu
Kuna hatari ya hawa wanawake wetu kuwa na boo wake kila jukwaa ...
Nianze na sakayo
Kuna babu na juzi walimuandika na bak...
Sina nia mbaya
Nshakujibu JamaaaniiiUje ujibu kwanza swali langu..!
Ni mimi ama ni babu ?
Hujajibu...Nshakujibu Transcend... Uamuzi ni wako
撤持之以恆酷噢日期詞四強了
Shangaa na weweUnategemea anaweza kumkana babu yake???
Achana nae bhanaa, kama hataki unajichekesha niniHivi mimi ni sawa na kina D?
SawaNa leo tena tukiona tukio kama la jana tutete weeeh tuwacheke tujichekee![]()
Si useme tu Sitaki au.. Mahubiri yoote huku unadanganya... Sema Sitaki inatoshaKweli T nipo serious sidanganyi baba d anajua najua pm huko itachukua mda tusingeweza kuchat