Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ruksa akufunguliee akikataa nambieNina neno na yeye mkuu..
Ruksa akufunguliee akikataa nambieNina neno na yeye mkuu..
Hapo umemlenga binamu yako na mpendwa wake.Shem kuanzia miaka miwili hivi au mmoja na nusu na kuendelea mbele huko mnajuana vizuri zaidi
Huo unaousema jamaa ni utani tu ujueUpiiii
Unaenda wapiiiiNa kweeeli halituhusu love
Mie naondoka bae... Ukinimiss nipigie
Eeeh..
Unamtaka shunie ?
Za kumzingulia naniliiId mbili za nini sasa weww?
SawaKama huwezi basi...
Usijali wala. I will handle it..
Mimi siku hizi kila jukwaa nipo mpaka lile walilokuwa hawataki tuingieAiseeee...
Kumbeee?
Acha uongo bhana ujue ana mahaba mpaka naogopa![]()

Huyo wa mwisho uliona nimemwandika wapi kwa mfano...Kuna ka uchunguzi nakafanya mkuu
Kuna hatari ya hawa wanawake wetu kuwa na boo wake kila jukwaa ...
Nianze na sakayo
Kuna babu na juzi walimuandika na daby ...
Sina nia mbaya
Ndoa changa ina mamboSawa sawa
Shauri yakooUnavofikria mm sijui kichina ??
PoaSioni chochote zaidi ya chat zilizopo za mwaka 47
Me furaha yangu Baba D ukitembea kila jukwaaMimi siku hizi kila jukwaa nipo mpaka lile walilokuwa hawataki tuingie

We unaonajeWa kule au