Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia

Ni siku ya Wakulima nchini Tanzania maarufu kama " Nane Nane "
Ambapo maonyesho ya wakulima hufanyika kwenye mikoa mbalimbali.

Ni siku ya mapumziko. (Leo hakuna kazi hureeeeee)
 
Leo katika Historia


1963 - Chama tawala nchini Zimbabwe cha Zanu Pf chaanzishwa.
d243e3a4c6eb28d2ee799180353cd7da.jpg
2d25ef876cb9667ed2b2739b145346a6.jpg
9f18ae97501c36f39e67dda8e45352bc.jpg

Na kimeng'ang'ania madarakani hai leo ni kamaChama Cha Mimea huku bongo
.....
 
Leo katika historia

Haina la ziada
Niite Jimena Jimenes kwa udhamini mnono kabisa wa nane nane
karibuni mjipatie Chia seeds kwa utajiri wa afya zetu!
455a72df3adc1f01c4298a24dfc9be3e.jpg

Usikose kujipatia Chia seeds zako sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom