Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Zama za uwazi..tiririka vigezo watu wajipimeViko vingi tu wala pesa hazimo kwavile najua jinsi ya kuzitafuta mwenyewe
Zama za uwazi..tiririka vigezo watu wajipimeViko vingi tu wala pesa hazimo kwavile najua jinsi ya kuzitafuta mwenyewe
Hahahaaaaaaaa lol...Sh. ngapi huo mkuu, nimhonge nameless girl?
Nameless girl!Hahahaaaaaaaa lol...
Ng'ombe 200 tu. Mi nna ngozi nyeupe ivo.Hilo usijali, niambie mwenyewe mrembo muzuri nikutolee ka sh. ngapi vile?
Sijambo shikamooNameless girl!
Hujambo mwaya
Ahaaa albino auNg'ombe 200 tu. Mi nna ngozi nyeupe ivo.
Lol!!! Zile ngozi adimu za malaikaAhaaa albino au
Hiyo shikamoo unataka kuninyima nin!Sijambo shikamoo
Ahaaa mim zipo 300 vp zinatosha!Lol!!! Zile ngozi adimu za malaika
Pesa...🙂Hiyo shikamoo unataka kuninyima nin!
Mi sio mwenye shida kwahiyo siwezi kuweka vigezo ila mwenye shida ndo ajaribu akifit itakuwa heri piaZama za uwazi..tiririka vigezo watu wajipime
Sina shida na pesa, tatizo langu namna ya kuxitumiaPesa...🙂
Bas fanya uganga wa kubadili ng'ombe kuwa makaratas mekundu....Ahaaa mim zipo 300 vp zinatosha!
Njoo nikufundishe... Tuma ada kabisa kwa mwalimu...Sina shida na pesa, tatizo langu namna ya kuxitumia
Tayari nimebadiliBas fanya uganga wa kubadili ng'ombe kuwa makaratas mekundu....
Ingia chumbani tumalizane kabsaa uondoke na mshiko wako mkononiNjoo nikufundishe... Tuma ada kabisa kwa mwalimu...
Mwalimu anafundishia darasani na mifano inatolewa sehemu za maduka makubwaIngia chumbani talizane kabsaa uondoke na mshiko wako mkononi
Nambie mrembo?Hahahaaaaaaaa lol...
Upo handsome?Nambie mrembo?