Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Wewe hebu nitake radhi tafadhali....... Yani ni mi shemale????Jimena roho mbaya sana huyu dada....
Nahisi atakuwa shemale.....
We hata usijisumbue maana sitakukubali asilaniKwakweli sizzya akishindwa inabidi nijaribu bahati yangu.
Ishu ziko poa wangu, nlimiss uwepo wakoMiss you sanaaaaa
Salamu zimepokelewa, Issue zinaendaje??
Mi nipo tu, itakuwa sikuhizi tunapishana ratibaIshu ziko poa wangu, nlimiss uwepo wako
Teh naona kama hawaji, nnamis sana kuitwa yale majina romantic atiHahaha endeleeni mtapata. Msikate tamaa
Sure, wakati mwingine ubize unakua mwingi nakua nakosa taim ya kuchungulia humuMi nipo tu, itakuwa sikuhizi tunapishana ratiba
Hahaha anza tu kujiita mwenyewe, usisubiri kuitwa na mtuTeh naona kama hawaji, nnamis sana kuitwa yale majina romantic ati
Mh hapa cjakuelewa... naanzaje kujiita sweetheart kwa mfano? Au unamaanisha nimuite tu mtu hivo hata kama cjakubaliwa dizain kama natest zali?Hahaha anza tu kujiita mwenyewe, usisubiri kuitwa na mtu
Jaribu hvyo unaweza kufanikiwa.Mh hapa cjakuelewa... naanzaje kujiita sweetheart kwa mfano? Au unamaanisha nimuite tu mtu hivo hata kama cjakubaliwa dizain kama natest zali?
Pamoja sanaaSure, wakati mwingine ubize unakua mwingi nakua nakosa taim ya kuchungulia humu
Poa sana, tugawane basi kilichopatikanaMambo zenu ?
Nilikuwa busy kutafuta mawe
![]()
![]()
![]()
..........,........
Tuko poa mkuuMambo zenu ?
Nilikuwa busy kutafuta mawe
![]()
![]()
![]()
..........,........
Sikupi ng'o nimekipata kwa tabuPoa sana, tugawane basi kilichopatikana
Poa poa, karibu sanaHabar zenu Wanajukwaa
Niko poaTuko poa mkuu
Mawe ndio kila komaaa kuyatafuta
Safi mkuu, habari ya wewe?Habar zenu Wanajukwaa