srinavas
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,270
- 4,182
Nisaidie bna , mimi navutiwaga sana na askari wa kikeBasi subiri nikutaftie mkuu
Nisaidie bna , mimi navutiwaga sana na askari wa kikeBasi subiri nikutaftie mkuu
Acha uvivu pekua utaonaHakaonekani , nimechambua page kibao.
Ukikaona hembu nishikizie bna.Acha uvivu pekua utaona
Nisaidie bna , mimi navutiwaga sana na askari wa kike
Huyu jamaa mvuvu sana.Acha uvivu pekua utaona
Daah! Ebwana asante sana mkuu.. binti mashallah huyu. Naomba anikamate tu jaman
Kijana naona mapenzi yanakusumbua.Daah! Ebwana asante sana mkuu.. binti mashallah huyu. Naomba anikamate tu jaman
Brother uko poa?Acha uvivu pekua utaona
Mi ni mtu mzima na pia shemeji yako ndio kazi yake hyo..Kijana naona mapenzi yanakusumbua.
Daah! Ebwana asante sana mkuu.. binti mashallah huyu. Naomba anikamate tu jaman
Tupia basi kapicha tumuone shemeji kama anafanana na huyu mrembo.Mi ni mtu mzima na pia shemeji yako ndio kazi yake hyo..
Itakuwa poa sana.....toto mashalaah..!
shindano la miss Afande libuniwe
Karibu mkuu mambo vipi.Hooodiii......
Habari za humu....
Shemeji ni kamanda kwa sasa , sio kama huyo kuruta. Nikimtupia hapa ntakuwa nimemkosea.Tupia basi kapicha tumuone shemeji kama anafanana na huyu mrembo.
Acha roho mbaya mkuu.Shemeji ni kamanda kwa sasa , sio kama huyo kuruta. Nikimtupia hapa ntakuwa nimemkosea.
Nyawatupia akiwa katika za kiraiaAcha roho mbaya mkuu.
Mbona unataka ufaidi mwenyewe.?
Sawa brother tunasubiri.Nyawatupia akiwa katika za kiraia
Tupo, habari za weekend mkuuhabari gani makapuku'z, mpo gud?