briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Hahhaha acha uchoyo... Mi siwanyimagi hiyo jinsiaSikupi ng'o nimekipata kwa tabu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
............
Hahhaha acha uchoyo... Mi siwanyimagi hiyo jinsiaSikupi ng'o nimekipata kwa tabu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
............
Niko poa jimena baada ya kulijenga taifa mchana kutwa now ni Muda wa kapuku forumSafi mkuu, habari ya wewe?
One lovePamoja sanaa
Hela huwa hazilali asee... Komaa bobMambo zenu ?
Nilikuwa busy kutafuta mawe
![]()
![]()
![]()
..........,........
Sio tu mkosoaji bali mtu wa kutafakari sana mkuu.Kapuku vipi sijakuelewa unamaana gani kusema mkosoaji? Nadhani makapuku mnaelewana mi nimkosea njia....
Sio radhi pekee akulambe na miguuWewe hebu nitake radhi tafadhali....... Yani ni mi shemale????
Safi sana mkuuNiko poa jimena baada ya kulijenga taifa mchana kutwa now ni Muda wa kapuku forum
Vinginevyo hatutaelewana na youngblood milele na mileleSio radhi pekee akulambe na miguu
Ni kijana mtiifu atatiiVinginevyo hatutaelewana na youngblood milele na milele
Sina hakika na hiloNi kijana mtiifu atatii
Ile story yake ya mkono wa sweta umeipata eti!Sina hakika na hilo
Nilikuwa naiona juu juu tu na sikuweza kudandia treni kwa mbele, sasa sijui ilianzaje na wala sijui imeishajeIle story yake ya mkono wa sweta umeipata eti!
Kumbe nahrene kakimbia mkono wa sweta, akaja amen naye kakimbia, na sasa zam yako naona ana ku-beepNilikuwa naiona juu juu tu na sikuweza kudandia treni kwa mbele, sasa sijui ilianzaje na wala sijui imeishaje
Hapa sio kwa majaribio, mpeni taarifa kabisa kuwa wala asijisumbueKumbe nahrene kakimbia mkono wa sweta, akaja amen naye kakimbia, na sasa zam yako naona ana ki beep
Nakushauri kama utamkubali mwambie akavue gambaHapa sio kwa majaribio, mpeni taarifa kabisa kuwa wala asijisumbue
Hana vigezo vya kukubaliwa hivyo wala usihangaike kunishauri kwa kitu achacho hakitakaa kitokeeNakushauri kama utamkubali mwambie akavue gamba
Hivi wew vigezo gn wataka upenzin! Pesa au upendo!Hana vigezo vya kukubaliwa hivyo wala usihangaike kunishauri kwa kitu achacho hakitakaa kitokee
Viko vingi tu wala pesa hazimo kwavile najua jinsi ya kuzitafuta mwenyeweHivi wew vigezo gn wataka upenzin! Pesa au upendo!
Angalia muda unasonga na wewe
Hivi wew vigezo gn wataka upenzin! Pesa au upendo!
Angalia muda unasonga na wewe