Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kimba Sc anakufa km vp wadraw ili kutusafishia njia ya ubingwa

Mi Man utd lkn Leicester akishinda nitafurahi pia coz wanastahili kuchukua ndoo.....sioni km tutafika Top 4 japo inawezekana
Kuwafunga Leicester ni kuwacheleweshea ubingwa tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
..............

Sio kuchelewesha ubingwa ni wao waje ni mipango ya kumuua Tembo, sidhani kama tutakubali tufungwe OT
 
Back
Top Bottom