Nipo mbele kabisaTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa shemeji sakayo
Nzuri, za kwako mkuuNipo mbele kabisa
Habari ya asubuhi shululu
Niko poa kabisa Jumamosi tulivu kabisaNzuri, za kwako mkuu
Umeamkaje shemejiMorning all kapuku
Niko salama kabisa shemeji, vip familiaUmeamkaje shemeji
Familia iko poa kabisa shemeji habari ya hapo kibahaNiko salama kabisa shemeji, vip familia
Hahahaaa....
Kesho naweka Top 10 ya pipi na Soda![]()
kwenye pipi bigbom itakuwa namba mokoAsante kwa magazeti shemejiView attachment 558484Sina la ziada kutoka magazetini Tukutane tena kesho Nawatakieni siku njema Mbarikiwe sana
Za kibaha nzuri kabisaFamilia iko poa kabisa shemeji habari ya hapo kibaha
Sawa shemeji tumshukuru muumba kwa kutupa afyaZa kibaha nzuri kabisa
Morning Mndali ndanyelakakomu
Nyagei mzima?