Makapuku Forum

Makapuku Forum

Namtafuta Baba D wangu jamaan simuoni sina taarifa zozote akija naombeni mumwambie mkewe namtafuta nimemmiss sana na ninampenda sana lee wangu me shunie [emoji8]
 
Leokatika Historia

1974 - Killy Gonzalez anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa klabu za Valencia, Inter Milan na Timu ya Taifa ya Argentina.

4830daa3f0471066a49564a7d86dba97.jpg
e780bf64b23749a4ee2917cf3eacf059.jpg
Alitamba na Valenxia na akina Gaizka Mendieta
4924afdddb9d9778711cc5a16064cfdf.jpg
Hapa akimburuza Pep Guardiola
......
 
Back
Top Bottom