Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
[emoji524] Heri walio masikini wa roho, maana ufalme wa mbinguni ni wao
Heri wenye huzuni maana hao watairithi nchi
Heri wenye njaa na kiu ya haki maana hao watashibishwa
Heri wenye rehema maana hao watapata rehema
Heri wenye moyo safi mana hao watamwona Mungu
Heri wapatanishi mana hao wataitwa wana wa Mungu
Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki maana ufalme wa mbingu ni wao [emoji524]
MATHAYO:5:3:10
Mbarikiwe sana muwe na asubuhi iliyo njema kwenu [emoji120]