Makapuku Forum

Leo katika Historia

1985 - Antonia Valencia anazaliwa.
Ni winga/ beki wa kulia wa klabu ya Man Utd na Timu ya Taifa ya Ecuador.
Mzee wa kuchomekea jezi dk 90
Nahodha wa Ecuador na msaidizi wa Carrick
Mmoja kati ya wachezaji wapole hana makuu ndani na nje ya uwanja
Hupigwa red card za makosa ya kimichezo tu il siyo za ukorofi
Babu SAF alimlazimisha kuvaa # 7 akavaa kwa msimu mmoja tu kisha kiungwana akairudisha kwa kumwambia ni jezi nzito kwake hivyo haweI kuubeba mzigo .........
 
Amen
 
Asante kwa nukuu mkuu transcend
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…