Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Naona mnapelekana chumbani sasaKuwa na subira mpenzi
Naona mnapelekana chumbani sasaKuwa na subira mpenzi
Na kwako pia madam SakayoMuwe na usiku mwema wakuu...
Tutaonana Mungu akijaalia
Kulikoni shemela
Mtaasisi katika uboraBitoz, asante kwa watunzi hawa nguli. Huyu jamaa kitafute hicho kitabu cha The Alchemist , ukiwa na muda utakipenda sana.
Mfugaji katika uboraMdau
Mimi siyo naandika tu kufurahisha genge
![]()
![]()
![]()
Bali haya mambo nina interest/hobby nayo hivyo nayafuatiliaga
......
Muziki: Unofficial Weekend
Unajua kabisa sitachoka kukuuliza u khali gani Kapuku mheshimika, na kama kawaida ulizo langu sio lile la swali bali ni la maelezo, majibu yanajulikana, yakiwa mazuri sawa yakiwa tofauti naypo ni sawa na kaa ukijua kukaa kimya nako ni jibu. Ni furaha sana kukuona hapa maana bila wewe KF isingekuwa jukwaa bora kabisa hapa JF.
Ulishwahi kujiuliza na kujiswalisha bila kupewa maswali, well, labda nakuchanganya na siruhusiwi kufanya hivyo maana yapo mengi yanayokuchanganya na maandishi yangu hayapaswi kuwa moja wapo ya vingi vinavyokuchanganya. naandika vitu rahisi rahisi tu na nikimaliza natoa shukrani kwa wadau waliolichangamsha Jukwa siku ya leo, mtaasisi mwenzangu Nyagei na Linamo asanteni kwa kutuchangamsha, siwasahau wadau wote ambao uwepo wenu hapa unalifanya Jukwaa hili kuwa sehemu bora kabisa. Niseme nini kingine.
Muziki sasa; unaweza kujiuliza kwanini jana ilikuwa vile tofauti na juzi wakati ambapo tunaishi leo na kuipanga kesho! shangaa hata wewe maana nilichoandika usikurupuke kuwa sieleweki, jipe muda na utajua ukikumbuka mabaya ya jana utajirekebisha na kama kuna lililokuliza hakika hutopenda litokee tena ama kwako au kwa mwingine na zaidi kukumbuka mambaya ya jana huwa haisaidii kwani utabaki kuumia tu. Ukitaka kuikumbuka jana usiisahau na juzi maana juzi ilikuwa ya furaha. Tuburudike na vijana wa enzi hizo waliojitwalia tuzo ya Grammy na nyingine nyingi sana.
Muziki wa wadhamini na wapendanao utakujia hivi punde
Shukrani mkuu1/Dan Brown![]()
![]()
Alizaliwa Agost/Juni 22 mwaka 1964
Huyu jamaa ni habari nyingine kabisa kwa utunI wa vitabu
Yaani jamaa anaandika sura fupifupi ila zenye utamu balaa(short chapters) na mpangilio wa kueleweka![]()
![]()
![]()
Sacrilege ndo kitabu chake cha kueleweka zaidi
Ila kaandika vitabu kibao vya fiction kuhusu mauaji n.k
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesho
Mwisho
..........
KhiiKhee!!
MwambieUtaharisha mkuu
Viporo vina wenyewe na wenyewe ndio km ss
Na kwako pia mkuuNimefurahi leo kukuona
Ngoja nikuache na Obe wako
Tukutane kesho
Usiku Mwema
......
NdioNdio linaisha?!
Leo nilifukia
Hakika, mambo yanabadilika kila sikuAisee..... Things are changed..... Kudadadeki.
Vyema kusikia hivyoHapana shaka amekusoma Mkuu.
Anakuja kutuchanganya tuAfadhali umuulize
OohMzima mamy..... Miss you mingi sana, nilikuwa vacation kidogo.
Hati hati hii avatar ikuponze, ID ndiyo pona yako.
Continue skippingI've skiped ma friend's,
How are you...,?
post using my macbook air using jamiiforums app
I think he's in a holidayHow are you,shimba ya buyense
Longtime no see where were you...?
U're welcome
post using my macbook air using jamiiforums app