Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
Safi4/Ken Follett![]()
![]()
Alizaliwa a Juni 5 mwaka 1949
Huyu jamaa ana shahada kuhusu falsafa na miaka ya 1970's alifanya kazi kama mwandishi wa habari pia aliajiliwa kweye kampuni ya uchapaji vitabu(publishing house)
Hapo ndipo akaanza kuandika vitabu vyake kwa kuibiaibia![]()
![]()
![]()
Kitabu chake kikali ni Fall Of Giants kikielezea kuanguka kwa bara la Ulaya kurokana na WWI ambaye kuna simulizi kibao za kusisimua kiutunzi
Jamaa anapendelea zaidi simulizi zenye mlengo wa historia
......