Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia

1950 - Ernesto Samper anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 29 wa Colombia.
Alisifika kwa kutumia vibaya mali ya umma na kujitajirisha sana.
1653f96a8fb02655e4130ebd104f0ce5.jpg
a215b23a515c27af38e327108eeacc57.jpg
7b378c9c8804b02e0faf79271f1a077f.jpg

Kutokana na ufisadi wake akatawala miaka 4 tu
......
 
Leo katika Historia

1962 Lucky Philip Dube anazaliwa.

Maarufu kama Lucky Dube alikuwa ni mwanamuziki mashuhuri wa muziki wa rege toka nchini Afrika Kusini.

Aliuwawa kwa kupigwa risasi mwaka 2007.
Ni mwanamuziki pekee wa Regge ambaye hakuwa anatumia kilevi cha aina yoyote ile.

ba06e2d7ae70c788e21f383397fd656c.jpg
805310b473414260d11c2b9274925cf2.jpg

Atakuwa alikuwa anatumia kwa kificho......ulevi haujawahi kumuacha mtu salama Mama
The Way It Is
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom