Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia

1900 - Kampuni ya matairi ya Firestone yaanzishwa.
4c2aa2a4cc2945584ec4f8b48f2a52c7.jpg
410df64b45435f95d9db260b2d21918e.jpg
abf99f066efbc5d2c6041950bce144b4.jpg

Mwanzilishi ni Harvey Samuel Firestone
Bridgestone ndo km mpinzani wao
.......
 
Leo katika Historia

1964 Lucky Philip Dube anazaliwa.

Maarufu kama Lucky Dube alikuwa ni mwanamuziki mashuhuri wa muziki wa rege toka nchini Afrika Kusini.

Aliuwawa kwa kupigwa risasi mwaka 2007.
Ni mwanamuziki pekee wa Regge ambaye hakuwa anatumia kilevi cha aina yoyote ile.
 
Leo katika Historia

1936 - Jesse Owens ashinda mbio za mita 100 na kushangaza watu wengi akiwemo kiongozi wa Ujerumani Adolf Hitler katika mashindano ya Olimpiki ya majira kiangazi huko Jijini Berlin.
c79f433c9aab7952eadc2eb2e7d62dd8.jpg
c257a6734d8a4e21cb6435840528f334.jpg
:
Alifariki n aka 1980 akiwa na umri wa miaka 66
Aliendelea kutunukiwa tuzo za heshima hata baada ya kifo chake
Hero
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom