Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
AiseeeNimekumiss mpaka biology yangu imegoma kufanya physical change...
Mmmwaaah kuanzia kisiginoni mpaka kisogoni


AiseeeNimekumiss mpaka biology yangu imegoma kufanya physical change...
Mmmwaaah kuanzia kisiginoni mpaka kisogoni


Mimi ndio nilie muita ujue..!Yaani
Nimefurahi kweeeli kumuona babu jamanii...
Mzima wewe lakinii
Koh koh koh..Mbona nipo jamani?? Kuanzia leo ntakuwa nakusabahi kila siku ili moyo wako upate burudani...
Ili mradi tu kusiwe na mtu atakayeumia kwa wivu
Sawa babu akee.... Ngikukundi.... Sijui nimepatiaNipo bhana... ushasahau nilipokuambia nilipokuwa??
HahahaChura wa Kihantsi... LOL
Basi tufanye mjusi...
Umepatia... kumbe nilichokufundisha ulikishika sawia...Sawa babu akee.... Ngikukundi.... Sijui nimepatia
Asante kwa kumuita Jamaaaniii.... Ubarikiwe mnoooMimi ndio nilie muita ujue..!
Mimi mjukuu mwema
Nikuletee juiceKoh koh koh..