shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Basi tumeacha shemela, maana umekuwa mnyonge kweliIla kuna nini leo ndio mnaongea kuhusu sauti yangu ilivyo
Basi tumeacha shemela, maana umekuwa mnyonge kweliIla kuna nini leo ndio mnaongea kuhusu sauti yangu ilivyo
Ndio nawashangaa nyie shemela![]()
![]()
![]()
kwani sauti nayo ni tatizo
Kazi ipoYale maandishi yanasikika![]()
Ahahhaha mzee wa uchochezi kama kawaida yakoUnitagi
Nashkuru shemelaBasi tumeacha shemela, maana umekuwa mnyonge kweli
Sisi tunaisikia kupitia haya maandishi tuNdio nawashangaa nyie shemela
Shemela jaman acha nikae kimya tuSisi tunaisikia kupitia haya maandishi tu
Binamu
Kubali tu ukweli mjukuu wanguKazi ipo
Ebu angalia sasa. Si ni kama unamsukia tu shululuShemela jaman acha nikae kimya tu
Na wewe pia shululuUsiku mwema makapuku wote Mungu awalinde
Mi wacha niongee na mjukuu wangu hapaUsiku mwema makapuku wote Mungu awalinde
Atakuwa ameenda kulalaMi wacha niongee na mjukuu wangu hapa
Niko poa mr. Nyageikoncho77 upo poa