Muziki: Vibration of Love
Ni siku nyingine ambayo kiukweli najifeel love vibration na hii ni kutokana na siku yangu ilivyoanza Jumatatu hii na hadi inapotaka kumaliika kuianza Jnne. Naamini nawe umekuwa na siku nzuri kabisa na ndiyo maana ninakusalimia wewe Kapuku mheshimika na kutosahau kukutell kuwa Jukwaa hili ni bora sana kwa sababu wewe upo hapa. Unataka niseme nini hujasikia kuhusu umuhimu wako hapa?
Kama kawaida, shouting out ain't killing me and hopeful you get no gas tummy nikisema asante kwa
shululu kutuhabarisha,
Jimena kwa historia,
lee empire kwa mengi ambayo sijui nnitaje lipi ujue you rock brother,
Shunie kwa sala, mtaasisi mwenzangu
Nyagei asante kwa kutuspotisha. Unadhani nitakusahau
husna muba , wewe unatembea na moyo wangu, asante kwa hadithi ya kikomando.
Nimesema leo najifeel like living in love vibration haina cha silence hii na ndiyo maana niko happy kumuona tena
werrason , you were missed here mukongo, karibu
Curious gal mkaribie
Mondray mitaa ya Unguja,
Tumosa ,
Clkey mnajijua nyie ni muhimu kwa michango yenu ya hali na mali,
demi it's good to see you here,
mzeewakungoa unajua tunavyoangaliana kwa jicho la chati,
dingimtoto ,
koncho77 ,
Transcend lazima ufuatane na
Sakayo . sijamtaja nani, labda mdau wa first to reply (asante kwa kuja)
Muziki sasa, kila mmoja anajifeel love kwa namna yake kuanzia kimwili, kihisia, kiimani na kiakili. Huu ndo ubinadamu na wengine tukikatazwa kufeel love tunachukua hatua za kuonesha kuwa lazima tunachohitaji tunakipata. Love is muhimu ndo maana kupitia hili tunasamehe, tunakumbatia, na tunasonga kufurahia maisha.
Usione napenda kukupotezea time yako kwa kuchonga sana, mawazo yangu yako na wewe pamoja na bundle lako. Burudika na vibao hivi.
Na zaidi unaruhusiwa kuwa a slightly stoopid na sio totally stupido huku ukifurahia bendi nzuri ya reggae