Ooooh! Richard williams..!
Richard williams..!
Who is Richard williams
Richard Williams alizaliwa Nchini Africa kusini ila akaenda kusoma nchini Uk .
Baada ya masomo RW ( Richard williams) alijiunga na jeshi la Uk katika kikosi cha Parachut Regiment.
Baada ya hapo aliingia SAS (special Air Service) katika 7th Armoured Brigade akiwa kama Chief of Staff.
Amefanya kazi pia kama Director Staff wa joint service command na staff college.
RW ameshiriki operations nyingi kama north Ireland, Bosnia , south america, macedonia , kosovo, west Africa, iraq, afghanistan na lebanon.
He is good in Conflict resolutions and peace making.
RW amestaafu akiwa na cheo cha LC ( lietenant Colonel) ana shahada ya sayansi ya uchumi, shahada ya uzimivu ya masuala ya kijeshi na ulinzi.
Ana tuzo mbalimbali kama Queen's recommandation for valuable service in SA 1996. SEMA group prize 1999. Na zingine kibao..
Sasa Barrick Gold corporation (BGC) wameamua kuja na RW kwanza kwa sababu ni mtu mwenye uzoefu na conflict resolutions..jamaa ni mzeofu wa kutupwa. Lakkini pia toka astaafu jeshini amekuwa anafanya kazi na kampuni kubwa za migodi na mafuta.
Sijui kama Tz tuna team yenye negotiator wazuri, kujua sheri tuu hakutoshi sisi kudeal na hao jamaa.
Kwenye website page ya BGC jamaa yupo kwenye management kama CEO yaani chief operating officer..
Yeye ndio mzee wa strategy! Na wamemleta sasa kudeal na kina Prof . Palamagamba..
All the best Tz..