Makapuku Forum

Aisee imebidi nijichekee tuu
 
Thank you mumie!
 
3/CN Tower
Umesimama huko Toronto nchi Canada

Ulishikilia rekodi ya mnara/jengo refu zaidi duniani kwa miaka takribani 32 hadi pale ilipofika mwaka 2007 rekodi yake ikafa kifo cha mende
Uojenzi wake ulianza mwaka 1973 na kukamiltika mwaka 1976...mnara huu upmejengwa kwenye njia ya zamani ya. Treni huko Toronto
Pia upo karibu na machimbo. Ya dhahabu ya Ontaklril hapohapo Toronto
Ni maalimu kwa ajili ya kurushia matangazo ya luninga na Radio ila pia unatumika kibiashara maana kuna migahawa kibao imejengwa na wartalii hufika kwa 28!&8

Un urefu wa futi 1,815
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…