Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,488
Ewaaa
Ewaaa
Nakupenda ujueNakwambia ipo sikuu
SwtheartKwema mkuu, za Rukwa
Akikujibu niiteWewe hapo ....
Hivi unajua sakayo ana moyo wa kijeruman au
Wahenga hawakukosea waliposema tenda wema uende zakoHuyu nimemsaidiaa wiki nzima jana ndo usisemee alafu kukuonaa kanifanyia ya punda
Nshaghailiiii sitakiiiiiAkikujibu niite
Sio humu tuu... Jf kwa ujumla
Kweliii kabisaaaWahenga hawakukosea waliposema tenda wema uende zako
Nifungulieni uzi kabisa..Ujue anaweza kujua utani ila nayoongea ni ukweli mtupu tabu nilipata mie
Alikua anaingia kukuchungulia kama umerudi akitoka anakuja kulia lia kwangu
Nipo mimiShunie jamanii
Huwa Napenda kukuona na hasira ujue..... Nilimiss vurugu zakoooHuyu nimemsaidiaa wiki nzima jana ndo usisemee alafu kukuonaa kanifanyia ya punda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nifungulieni uzi kabisa..
Mumuite na atoto, maserati....sijui nani nani wale...[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilimwambia akakataa akufungulie wa kukutafuta na Baba D alimwambia akagoma
Aiseee..Lee jamanii.... Ila Ule wimbo wako Mmmmh.... Ulinifanya nilale!!!!
Ni venye Nakupenda roho ya Shunie
Sawa mm leo nakuwa mpoleeHuwa Napenda kukuona na hasira ujue..... Nilimiss vurugu zakooo
Ndio ujionee sasaKweliii kabisaaa
Yaaan sakayo kweliiii ???