Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kho Kho Kho KhoNina kibano chake .....baadae namuweka kikaangoniiii shubamitiiiiiiii
Kho Kho Kho KhoNina kibano chake .....baadae namuweka kikaangoniiii shubamitiiiiiiii
Hapana. Viazi mviringo na viazi vikuuSio visiki
Nawasaidiaa vijana hawa ..si unajua vijana wa chuoo tatizoo laooSikuelewiii acha wenyewe na mapenzi yao
AiseeeeAlituomba tuwe dada zake tulikutana nae kwenye ule uzi niliokuandikia kipindi kile
MushengaaMpenzi wa mondray mwenye baby wake kakimbia we ndio nani tena jaman
LeeIla mapenzi bwanaaaah ....
Yaaan wewe sakayo ndo leo wa kunijbuu hivooo...imeniumaaaa
Maswalii kama kumi nataka majibuuuKho Kho Kho Kho
We utamjua mbaya wako leo kabla halijachwa........ Kumbuka kikulacho.....!?![]()
![]()
![]()
umeamuaa leoo
Nafikiri mpaka nikufweee ndo atajua kuwa nampendaAnataka kukuua
Ujue anaweza kujua utani ila nayoongea ni ukweli mtupu tabu nilipata mieHebu ongea mdogo wangu
Ipo siku yakoooLee
Naomba unisamehe jamanii....
Sawa tuu..... Hamna shidaMaswalii kama kumi nataka majibuuu
Basi ulipowasaidia panatosha waache wenyeweNawasaidiaa vijana hawa ..si unajua vijana wa chuoo tatizoo laoo
Na mm alafu sakayo ananijibuuu vileeeUjue anaweza kujua utani ila nayoongea ni ukweli mtupu tabu nilipata mie
Unaongea na mimi auUjue anaweza kujua utani ila nayoongea ni ukweli mtupu tabu nilipata mie
Please Baba DavieIpo siku yakooo
Mwenyewe nilimsahau ujue badae ndio nikamkumbuka kama akija utamuona tena alikuulizia sana kumbe mpo huku nawatafuta niitie sakayoAiseeee
Simkumbuki mbona
KabisaEti eeeenh????
Ndio uishe basiMushengaa