Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Ayooo ndo manenoooHapo ndo nimeshafika tena siwezi toka
Ayooo ndo manenoooHapo ndo nimeshafika tena siwezi toka
We acha tuuKama nakuona
SawaVizuriii
Mpendwa wa binamu asante kwa story[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sina mpango na wazee watazidi kunizeesha... Wajukuu nilionao wananitosha.
MmhUmeaminiii maneno yanguu?,
Wakilekebisha nistueNasubiria marekebisho mkuu
Weee hujamalizaaa
Ukipenda uwa upende na boga lake mpendwa baba d alikwambia lakini[emoji35] [emoji35]
Haaaaahaaaa, gori la mussolin huna hamu nalo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe nimetupia mbili back to back
Ahsante sana mkuu
Yale mazoezi niliacha toka nizungukwe na Mussolin5 sina hamu kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukipenda uwa upende na boga lake mpendwa baba d alikwambia lakini
Kho kho kho nipumue sasa jamanNilikumiss Jamaaaniii
[emoji15] [emoji15] [emoji15] leo hii unamfukuza baba dNtokee hapaaa...
Asante mwaya
MrudisheNitamrudishaaa porini [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Arudishwee tuNisamehe
Najua ni mchepuko wa lee nishajizoelea mieSimu anachaji kwa Queen ni mchepuko Wa Lee na ndie aliempa huo mtaji akafungua mpesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweliii ndo maana wanasema msaidiee mbuzi utamla ata supuu[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mukongo jamaanNawasalimuni wapendwa.....[emoji111]
Shangaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] leo hii unamfukuza baba d
[emoji23][emoji23][emoji23]mpole kama sio wewe si kwa msamaha huoNisamehe kweeeli Lee.. Ilikuwa utani tu jamanii