Makapuku Forum

Leo katika Historia

2006 - Fidel Castro anamkabidhi Mdogo wake Raul Castro madaraka ya kuwa Kiongozi wa nchi ya Cuba.

Licha ya kuwa ndugu, wote walikuwa kwenye " 26th July Movement " kikundi kilichofanikisha Mapinduzi ya Cuba ya mwaka 1959.

Fidel Castro alifariki 2016 akiwa na more aka 90
CIA ndo wanamfahamu vizuri maana walifanya majaribio kobao ya kumuua lakini wakafeli
.....
 
: Jamaa anaogelea kama samaki
Olimpiki ijayo itabidi ashindane na kambale
.....
 
NUKUU 8 KALI KUTOKA KWA MWANASIASA Hashim Rungwe ALIZOZITOA 15/3/2017!

-------------------------------------------------------------------

[HASHTAG]#Mosi[/HASHTAG], "Waziri wa sheria na katiba asilazimizishe mawazo yake yawe sheria. Tunatofautiana kufikri, na TLS inaongozwa kwa misingi ya sheria na kanuni ilizojiwekea kwa hiyo aache wajumbe waamue. Yeye ana kura moja tu asiwalazimishe watu kumchagua kiongozi anayemtaka yeye"

[HASHTAG]#Pili[/HASHTAG], "Huwezi ukaambiwa uoneshe vyeti halaafu unalia ovyo kwa wachungaji.., mwanaume halii hovyo. Kwani umeambiwa kazi ni ukuu wa mkoa tu???"

[HASHTAG]#Tatu[/HASHTAG], "Namshauri RC ambaye ni kama mwanangu, atoke azungumze ili kumaliza huu utata wa vyeti, asimsumbue Rais ana mambo mengi"

[HASHTAG]#Nne[/HASHTAG], "Mimi kama Rais Magufuli akiniteua, nitamshukuru, halafu nitamuomba radhi na kumtaka atafute mtu mwingine"

[HASHTAG]#Tano[/HASHTAG], "Prof. Lipumba anapaswa kuonesha uwezo wake nje ya CUF. Aoneshe nje ya CUF anaweza nini? siyo ang'ang'anie hapo"

[HASHTAG]#Sita[/HASHTAG], "Waliofukuzwa CCM, tunawakaribisha CHAUMMA, waje kwa hiari yao, siwezi kwenda kuwabembeleza"

[HASHTAG]#Saba[/HASHTAG], "Kura zangu ziliibiwa haiwezekani nipate kura 2000, halafu naletewa kura 200, hiyo sifuri moja imemezwa?"

[HASHTAG]#Nane[/HASHTAG], "Ningekuwa Rais jambo la kwanza ningehakikisha wananchi wote wanapata chakula, wanashiba kwanza mengine baadaye. Watanzania wananjaa"

Umeipenda ipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…